TI.D ATANGAZA KUWA YEYE NI MNYAMA, aingia rasmi kumsaidia Makonda,
Nimekuwa muathirika wa madawa ya kulevya, nimekuja kama kijana aliepotea njia siku za nyuma. Nilikosea sana familia yangu, mama yangu, marafiki na jamii kwa ujumla, naomba mnisamehe. Niko tayari kuunga mkono vita hii, mnyama nimeamua".
Hayo ni maneno ya TID wakati alipokaribishwa kuzungumza kwaniaba ya vijana walioathirika na Madawa ya kulevya leo kwenye awamu ya tatu ya mapambano ya dhidi ya biashara ya Dawa za kulevya.
Comments
Post a Comment